Posts

Showing posts from August, 2017

UHAMISHO WA WACHEZAJI ULAYA

Image
Kelechi Whatsanacho kaenda Leicester City kutoka Manchester City kwa £ 25m Agosti 30 Ligi ya Soka Eberechi Eze [QPR - Wycombe] Mkopo Mkopo wa Freddie Hinds [Bristol City - Cheltenham] Jackson Irvine [Burton - Hull] haijulikani Thomas Lam [Nottingham Forest - FC Twente] Mkopo Taylor Moore [Mkopo wa Bristol City - Cheltenham] Joe Morrell [Mkopo wa Bristol City - Cheltenham] Mshahara wa Adam Thompson [Bury - Bradford] Joost van Aken [Heerenveen - Sheffield Wed] Haijulikani Agosti 29 Ligi ya Pili Kevin Wimmer [Tottenham - Stoke] £ 18m Ligi ya Soka Sone Aluko [Fulham - Reading] Aliripoti £ 7.5m Mkopo wa Jack Byrne [Wigan - Oldham] Nouha Dicko [Wolves - Hull] Haijulikani Mikopo ya Jamille Matt [Blackpool - Grimsby] Will Randall [Wolves - Forest Green] Mkopo Gary Roberts [Portsmouth - Wigan] Bure Mikopo ya Sam Stubbs [Wigan - Crewe] Jordan Thorniley [Sheffield Jumatano - Accrington] Mkopo

Top 7 Questions and Answers on Leadership

Image
1) What is true leadership? Leadership is about how we lead people to deliver results. Leadership is about bringing consistency between the internal and the external. Leadership is about instilling confidence in your people, because as a leader, you hardly ever operate on your own. Great leaders deliver through people. 2) The Relationship between Leadership and Purpose: Leadership is more successful when it is purpose-driven, when it is accompanied by vision. Leadership is impactful when there is a high sense of urgency. We need purposeful leaders in Africa to lead us, we need African countries to become much more successful than we are today. This requires visionary leadership. To raise the standard of living of our people in Africa, we need accountable and purposeful leadership! 3) Leadership and Legacy: Leadership is not by accident, leaders are made and those who think legacy, those who are concerned about how history will judge them, most times turn out to be ou

TAARIFA KUHUSU SOKA LA ULAYA

Image
Manchester United wamepewa matumaini na Real Madrid ya kumsajili Gareth Bale, 28.  Manchester United watampa mkataba mpya beki wa kushoto Luke Shaw, 22, ili kuepuka asiondoke bure mwisho wa mkataba wake.  Chelsea wanakaribia kumsajili kiungo wa Leicester City Danny Drinkwater, 27, kwa pauni milioni 40 pamoja na Alex Oxlade-Chamberlain, 24 kutoka Arsenal.  Chelsea wanakaribia kumuuza mshambuliaji wake Diego Costa, 28, kwenda Atletico Madrid kwa pauni milioni 30.  Liverpool bado wanamtaka beki Virgil van Dijk, 26.  Liverpool wamethibitisha kufikia makubaliano ya kumsajili Naby Keita kutoka Red Bull Leipzig ifikapo Julai mosi 2018.  Liverpool wapo tayari kutumia pauni milioni 135 kuwasajili Virgil van Dijk na Thomas Lemar, baada ya kukamilisha usajili wa Naby Keita. Mateo Kovacic ameonesha nia ya kutaka kujiunga na Liverpool na kuondoka Real Madrid.  Monaco wamekataa dau la pili kutoka Liverpool la kumtaka Thomas Lemar.  Swansea wanataka kumsajili kiungo wa Bayer

TAARIFA ZA AWALI KUHUSU KULIPULIWA KWA OFISI YA IMMA ADVOCATES ZATOLEWA

Image
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam mnamo tarehe 26/8/2017 lilitoa taarifa ya awali ya tukio la mlipuko uliotokea katika ofisi za mawakili wa IMMMA zilizopo katika eneo la Upanga jijini Dar Es Salaam. Hivyo Jeshi la Polisi linapenda kuufahamisha umma kuwa uchunguzi wa awali uliofanyika umebaini kwamba usiku wa kuamkia tarehe 26/8/2017 majira kati ya saa 7:00-8:00 watu wasiojulikana utambulisho wao na idadi kamili, walifika katika ofisi za mawakili wa kampuni ya IMMMA (IMMMA ADVOCATES) wakiwa na magari mawili wakijifanya ni askari na kuwarubuni kisha kuwachukua walinzi wa jengo hilo na kuondoka nao kwenye moja ya gari walilokwenda nalo, ambapo baadaye walinzi hao walikutwa maeneo ya Kawe wakiwa hawajitambui. Aidha, kundi lililobaki liliingia ndani ya Ofisi hizo na kuweka milipuko iliyotengenezwa kienyeji ambayo baada ya watu hao kuondoka ililipuka na kusababisha uhalibifu wa mali na jengo la ofisi hiyo pamoja na majengo ya jirani. Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm

TAZAMA ALICHOKIANDIKA LISSU KUHUSU KUNDI LA WASAFI(WCB)

Image

6 Steps to Take When You’re Running out of Fuel on the Road

Image
Whether you are stuck in traffic for longer than expected, or you simply forgot to stop at the petrol station, there may come a point where you find yourself on the road and run low on fuel. In addition to praying and keeping your fingers cross that you make it to a petrol station, here are 5 things you need to do when your car is about to run out of fuel on the road 1. Unload heavy material If you have a heavy object in your car, if possible, you should unload the object and leave it on the side of the road with one of your passengers. This may seem like a lot of effort, but the additional weight of the heavy material will greatly contribute to the amount of fuel your car burns to keep moving. In short, the lighter your vehicle the better. Though you have to be careful that the area you leave the object is relatively safe, and the person is reliable. Plus, you may end up getting robbed if your car stops – so it may be worth the risk. 2. Get help from a bystander Luckily, i

TANZANIAN WOMEN WHO WILL INSPIRE YOU

Image
Girls indeed do run the world. After you read this you might just agree with this. These are some of the phenomenal women in Tanzania making headlines and changing lives 1.Dr  Victoria Kisyombe: Taking The Lead Dr Victoria Kisyombe was not afraid to take the lead when she founded  Selfina  where she was a pioneer of micro-credit in Tanzania through micro-leasing with particular attention to widows and young girls. The social position of women in Tanzania compelled Dr Kisyombe to start a foundation that empowers women to become more independent and support their livelihoods. Today Selfina leases items and equipment to help them start and run businesses, including; farm equipment, office equipment, catering kit to livestock water pumps, sewing machines, milling machines, oil extraction machines, and bicycles.The foundation has provided 25,000 leases to Tanzanian women and USD $22 million in credit, resulting in positively impacting the lives of more than 440,000 people and he

WALIMU WAWILI MBARONI KWA KOSA LA KUFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI

Image
Walimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa kidato cha tatu shuleni hapo. Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Lushoto ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, January Lugangika amesema waalimu wa wanafunzi hao wamekikuka maadili ya ualimu na kwamba watachukuliwa hatua zaidi huku akiongeza kuwa tabia hizo zinaleta kichefu chefu kwa jamii. Aidha mwenyekiti huyo amedai kuwa ushahidi wa tukio hilo umethibitishwa na Daktari ambaye aliwafanyia vipimo na kuthibitisha ni kweli kitendo hicho kilifanyika Kwa upande wa Afisa elimu wa sekondari Wilaya ya Lushoto Kassim Singato amesema endapo kutakuwa na masomo ya ziada ni lazima yafahamike muda yanapoisha ili wazazi waweze kufuatilia mwenendo wa watoto wao. "Inabidi wazazi muwafatilie watoto wenu kwa kila hatua, mjue wanafanya nini shuleni na kama mzazi humfatilii anaweza kufa

MKUU WA WILAYA MUSOMA ATOA AGIZO WA MAKANISA YOTE WILAYANI HUMO

Image
Kutokana na makanisa kuwa mengi, uendeshaji wa shughuli za ibada umekuwa kwa kasi kiasi cha kuwakwaza wakazi jirani na  maeneo yanayozunguka  makanisa hayo, kwani  ibada zinazoendeshwa  zimekuwa zikiambatana na muziki mkubwa, vilio na sauti mbalimbali ambapo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi imeonekana kuwa kero. Hivyo Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Zelothe Stephen amefunguka na kusema uhuru wa kuabudu usifike mahala ukawa kero kwa wananchi wengine, hivyo ametoa tamko lililozingatia katiba na kusema kuwa, viongozi wa ibada inabidi wawe na ratiba maalumu kuhusiana na uendeshaji wa ibado hizo. Amehoji na  kusema kuwa ibada zinaendeshwa siku nzima wananchi wanapata wapi muda wa kufanya kazi kukidhi mahitaji ya familia zao, hivyo amewataka viongozi wa makanisa hayo wawe na muda maalumu wa kufanya ibada na si kuendesha ibada siku nzima huku wakiwa wamefungulia mziki kwa sauti kubwa kiasi cha kusumbua wakazi wa maeneo jirani. Pia amesisitiza kwa viongozi wa makanisa hayo kupata kibali maal

MAGAZETI YA LEO JUMANNE AUG 29,2017

Image