PICHA MBALIMBALI KATIKA TUKIO LILILOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO HUKO LAS VEGAS MAREKANI
Zaidi ya watu 58 wameuawa na takriban 515 kujeruhiwa kwenye ufyatuaji wa risasi wakati wa tamasha la muziki huko Las Vegas, Marekani.
Wahudhuriaji wakikimbia.Polisi wakiwa nje ya Hotel ya Mandalay Bay
Wahudhuriaji wakiwa wamejificha
Watu wakikimbia kuokoa maisha yao
Waliokuwa wameudhuria tamasha hilo wakikimbia kuokoa maisha yao
Polisi wakimuweka chini ya ulinzi Dereva ambae inasemekana alikuwa amembeba mshambuliaji
Stephen Paddock ambae ndiye aliyefanya shambulio hilo kisha na yeye kujiua kwa kujipiga risasi.
Eneo ambako mauaji Yametokea
Takwimu
Angalia Pia Video