TUSUA MAPENE YATOA MSHINDI KANDA YA ZIWA

Mshindi wa Sh 15 Milioni kupitia  promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tanzania PLC,Bw. Imani Makundi, akifurahia kwenye duka la kampuni hiyo lililopo PPF jijini Mwanza jana baada ya kukabidhiwa kitita chake.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Mwanza Victoria Chale(kulia) akimakabidhi pesa zake Mshindi wa Sh 15 Milioni ya promosheni ya Tusua Mapene Imani Makundi, kwenye hafla iliyofanyika jijii Mwanza jana.
Imani Makundi ambaye ni Mshindi wa Sh 15 Milioni kupitia  promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tanzania PLC, Akiondoka na kitita chake huku akifurahia jambo na wateja wa Vodacom Tanzania  kwenye duka la kampuni hiyo lililopo PPF jijini Mwanza jana baada ya kukabidhiwa kitita chake na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Mwanza Victoria Chale.

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership