TAMASHA LA TIGO FIESTA TAMADUNIKA LILILOFANYIKA TABORA.

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora.

Mshehereshaji  wa Tigo Fiesta ‘TAMADUNIKA’  Mc Kicheko akifanya yake.

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Mapambano mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora 

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Wayege ya asili ya tambiko la Kimanyema  kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora.

Sehemu ya  watazamaji waliojitokeza kwa wingi  kwenye maonesho ya Tigo Fiesta Tamadunika 2017 mkoani Tabora .

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

ALIYEJIFANYA USALAMA WA TAIFA KUFIKISHWA MAHAKAMANI