CRISTIAN RONALDO AZINDUA PAFYUMU YAKE










Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amezindua pafyumu zake mpya ambazo zimepewa jina la CR7 Eau de Toilette.
Inaelezwa kwamba pafyumu hizo zitakuwa zinauzwa pauni £19 katika maduka mbalimbali ambayo zitakuwa zikiuzwa.

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership