VODACOM YASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati) akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao (kulia) wakisaini mkataba wa kusambaza mawasiliano ya simu kwa kujenga miundombinu maeneo ya vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati) akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao (kulia) wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw.Ian Ferrao, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwaniaba ya makampuni yote ya simu nchini wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa kusambaza mawasiliano ya simu kwa kujenga miundombinu maeneo ya vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership