STAA WEMA SEPETU AMPA UJUMBE ALIKIBA

Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni mwigizaji wa Filamu kutoka Bongomovie Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa wa Bongo ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu wimbo mpya wa mwimbaji Alikiba ‘Seduce Me’ Kupitia Instagram yake Wema Sepetu ameandika maneno haya”I have something to tell Alikiba… Baba Tunashukuru kwa Mziki mzuri, unatukomesha sana… Unatupa shida masaa yote nyimbo inakuwa kwenye Repeat. “Yaani sijioni naskiza nyimbo nyingine zaidi ya #SeduceMe … @elizabethmichaelofficial Najua nimesema nyimbo ila ushanielewa . Na ninatambua kwamba hili ni janga letu sote… Sijaathirika peke yangu na Seduce Me…. Kwa mara nyingine tena natoa shukran zangu za dhati kabisa kwako Bwana Bichwa.”

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership