PICHA MBALIMBALI ZA MAKAMBI YA WASABATHO YALIYOFIKIA KIKOMO JANA

Askofu Rabson Nkoko wa Kanisa la Waadiventista Wasabato ambaye ni Katibu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, akifanya maombi wakati akifunga makambi ya kanisa hilo ya 2017 Kitunda jijini Dar es Salaam leo hii. Askofu Nkoko alikuwa mgeni rasmi.

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership