HABARI

   VETA NA AIRTEL YATHIBITISHA KUHUDUMIA WANAOTAKA KUJIFUNZA UFUNDI KUPITIA VSOMO
 
 
    

  Afisa matukio wa airtel Tanzania akikabidhi simu maalumu zitakazotumika kuendesha mradi wa VSOMO kwa msajili mkuu veta kipawa(registry),Bw.Harold Mganga(kushoto),akishuhudiwa na Mratibu wa mradi na kozi fupi(Project and short course coordinator),Veta kipawa Gosbert Kakiziba(katikati)simu hzo zimetolewa kwa ajili ya mradi wa VSOMO.VSOMO ni applikesheni maalumu inayotoa mafunzo ya ufundi stadi ya Veta kwa njia ya mtandao inayodhaminiwa na Airtel Tanzania.

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership