MWANAHERI AKWAA SKENDO YA UTAPELI

Msanii wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed. MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed amefungukia madai ya kutapeli watu kupitia biashara ya lipstiki zake kuwa, hakuwahi kutapeli mtu na kwamba madai hayo yalimuumiza na kufikia hatua ya kuachana na biashara hiyo. Mwanaheri alisema alikuwa akijishughulisha na uuzaji wa lipstiki zenye nembo yake lakini wakatokea watu na kusambaza taarifa kuwa ni tapeli na amekuwa ‘akiwaliza’ wateja wengi kwa kuwauzia lipstiki feki kwa bei ya juu.
Akiwa katika pozi. “Nilianzisha biashara ya lipstiki zangu lakini nikashindwa kudumu nayo baada ya kutokea watu ambao walisambaza taarifa kuwa mimi ni tapeli na pia nawauzia watu bidhaa feki na kwa bei ya juu kitu ambacho niliona kinaniharibia jina na pia kutoa imani kwa mashabiki wangu,” alisema Mwanaheri.

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership