
Winga wa Difaa Hassan El-Jadida, Simon Msuva (kulia) akikosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane jana Uwanja wa El Abdi mjini Jadida, Morocco timu hizo zikitoka sare ya 1-1

Simon Msuva ameendelea kufanya vizuri katika timu yake mpya aliyojiunga nayo akitokea Yanga ya Tanzania


Simon Msuva akimiliki mpira uwanjani jana katika mchezo huo wa kwanza baada ya kurejea ziara ya Hispania kwenye maandalizi ya msimu mpya

Simon Msiuva (wa kwanza kushoto mbele) katika kikosi cha kwanza cha Difaa Hassan El-Jadida jana