MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI ATEMBELEA SPIKA WA FALME ZA KIARABU
Mhe. Spika Job Ndugai akikasaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu huku akiangaliwa na Spika wa Bunge hilo, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi (katikati) na Katibu wa Bunge Ndg. Ahmed Shabeeb
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi baada ya kutembelea Bunge hilo na kufanya nae mazungumzo ambapo pia amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu ambayo yamekubaliwa
Mhe. Spika Job Ndugai akipewa maelezo kutoka kwa Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhr. Dkt. Amal Al Qubaisi wakati alipotembelea Bunge hilo .
Mhe. Spika Job Ndugai akikabidhi ujumbe wake maalum kwa Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi