SIMBA YATOKA SARE BILA KUFUNGANA NA TIMU YA MLANDEGE KWENYE MECHI YA KIRAFIKI
Kikosi cha Timu ya Simba na Mlandege ndani ya uwanja katika mchezo wake wa kujipima nguvu kujiandaa na Mchezo wa Ngao ya Isani na Watao wao Yanga siku ya tarehe 23mwezi huu jijini Dar es Salaam.

















