DK.JOHN POMBE MAGUFURI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MASHIRIKA YA KIPAPA-VATICAN IKULU JIJINI DAR ES- SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria wa Fatima kutoka kwa Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Rozali aliyopewa na Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa wapili kutoka kushoto Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kumuaga mgeni wake Rais wa Mashirika ya Kipapa-Vatican, Mhashamu Baba Askofu Protas Rugambwa Ikulu jijini Dar es Salaam

Popular posts from this blog

LIST OF THE OLDEST UNIVERSITY IN AFRICA

LIST YA MIJI HATARI NCHINI MAREKANI

Top 7 Questions and Answers on Leadership