Ikiwa Leo ni siku ya kuzaliwa Mwanamziki Diamond Platinum ameamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kivingine zaidi tofauti na ambavyo tulishazoea kuwaona mastaa wengi wanavyosherehekea. Diamond Platinum Leo ameamua kutembelea Hospitali ya Amana jijini Dar es salaam kuona watoto waliozaliwa leo.